JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Sioni shida sababu hata real Id's zetu hazijaandikwa jf names bali zimeandikwa our real names... kwangu mimi sio big issue ila nilikua nasemea kwa wengine ambao hawata taka kutambulika.
@Madam B ameshanipa utaratibu kuhusu wasiotaka Id zao zijulikane kama wamechangia. Ukishatuma pesa unaenda kwa message za kawaida unamwambia jina lako utakaloingia ukumbuni siku hiyo kwa sababu sio laIma tukujue kwa Id yako humu.
 
Sawa ila mimi siku hiyo naomba nikutambue kua huyu ni Mzigua90 na wewe utanitambua....
 
Back
Top Bottom