Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila nawaomba wahudhuriaji msije kuja kufungulia nyuzi humu za kudhalilishana.
Baada ya party ndio tutaanza kusikia mengi ya watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ndio pagumu zaidi.Guys, ni lazima mtu akitoa mchango ataje na ID yake??
Kwani padre haruhusiwi kuvaa jeans!!!Ma-Padre Dress-Code yetu vipi kwenye hiyo Tafrija
Ugumu umeshatoka mkuu. Sio lazima kuja pm ukishanganga unaweza kwenda kwenye message za kawaida kwa Namba uliyochangia ukajitambulisha huko bila kutaja Id yako. Jina utakalojitamulisha nalo ndilo utakaloingia nalo ukumbiniHapa ndio pagumu zaidi.
😂😂😂😂Pensi na T-shirt
I hope so honey. Because i'll be there to enjoy the party and not otherwise. Sitaki matatizo na mtu kabisa.Hamna wa kunigusa bby
Don [emoji23][emoji23]Kuna kitu unanitafuta naona, na utakipata.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]I hope so honey. Because i'll be there to enjoy the party and not otherwise. Sitaki matatizo na mtu kabisa.
Embu njoo huku one TimeHuku Bwagamoyo nitafika asubuhi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi jamaniEmbu njoo huku one Time
hahhaha hadi nimecheka ujue ngoja nimsoundishe hajar hapa nas tusikose looohPale option ya tatu ni black dress.
Mamie baibui jeusi we tinga tu.
Juu piga nikabu yako au burkha....mkononi shika azam embe yako.
Uje tupige story and dance kidogo.
Tena nyie wavaa baibui mnakuwa na manukato hadi raha.
Uje tu aisee
haahah hapo mwake mwana kwetuBaibui jeusi ndugu yangu vaa.
HaaaWengi hapa wanasema watakuja ila wanafurahisha genge tu na kuwamalizia waandaaji charge....na baada ya party tutegemee ID mpya nyingi sn humu
Gizani maana si kwa kunisusa hivyo hapa si unaona Taa zinavyo mulika mpaka macho yanaumaWapi jamani
Kuandika na kuja ni jambo lingine. Hata kama wanazingua ni maamuzi yao bado kuja au kutokuja na ndio maana Mchango inapokelewa kabla ili kujua idadi kamili ya wahudhuriaji sio wanaosema watakuja kwenye Uzi.Wengi hapa wanasema watakuja ila wanafurahisha genge tu na kuwamalizia waandaaji charge....na baada ya party tutegemee ID mpya nyingi sn humu
Hahaaaa kesi tena jamani [emoji52][emoji52] unanioneaaGizani maana si kwa kunisusa hivyo hapa si unaona Taa zinavyo mulika mpaka macho yanauma
Njoo nikusomee kesi