JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Pale option ya tatu ni black dress.
Mamie baibui jeusi we tinga tu.
Juu piga nikabu yako au burkha....mkononi shika azam embe yako.
Uje tupige story and dance kidogo.
Tena nyie wavaa baibui mnakuwa na manukato hadi raha.
Uje tu aisee
hahhaha hadi nimecheka ujue ngoja nimsoundishe hajar hapa nas tusikose loooh
 
Wengi hapa wanasema watakuja ila wanafurahisha genge tu na kuwamalizia waandaaji charge....na baada ya party tutegemee ID mpya nyingi sn humu
Kuandika na kuja ni jambo lingine. Hata kama wanazingua ni maamuzi yao bado kuja au kutokuja na ndio maana Mchango inapokelewa kabla ili kujua idadi kamili ya wahudhuriaji sio wanaosema watakuja kwenye Uzi.
 
Back
Top Bottom