Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Soon anafikaG karudi?...mpe hi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon anafikaG karudi?...mpe hi
Nilipie Mimi mkuuMimi nishatuma tayari, natafuta mdada mmoja nimlipie na yeye
Wacha weeeeMmenichekesha jamani ,,,nawatakia kila la kheri muwe na sherehe nzuri ,mi nitakuwa na party yangu na G serengeti na zenji
Jamaa kaonesha udhaifu mkubwa sana... Hukatazwi kukosoa ila unapokosoa njoo na altenative wafanyeje waandaaji otherwise tutakuchukulia kama marehemu kaoge tuU can't b serious GM...upambane na she? For what purpose?
We toa alternative premises, tuone kama tunaweza secure it...party ni ya kwetu wote hakuna owner wa hii party!
We nabeba vzr soda sitaweza kunywa nne kwa wakati mmoko lazima nibebe!!!!Hasa Raynavero msiruhusu wabebe wanywee kabisaa
Ntampa taarifaOhhhh
Haya.
Ukimuona nistue
Naweza kuwa partnerHayupo bongo sasa...!!!yeye analipa tu!!!!
Sana alikosea mnoo...but at the end kaona kosa lake akawa normal tuJamaa kaonesha udhaifu mkubwa sana... Hukatazwi kukosoa ila unapokosoa njoo na altenative wafanyeje waandaaji otherwise tutakuchukulia kama marehemu kaoge tu
Wanywa soda mtengewe eneo lenu muhangaike na nzi vizuriiWe nabeba vzr soda sitaweza kunywa nne kwa wakati mmoko lazima nibebe!!!!
Hyo masti hyoo!!!
Idea nzuri sana.Natumaini nitashiriki.Habari wana Jf kwa ujumla, nadhani mko salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu.
Kama ilivyokawaida ya wanajumuiya iishiyo pamoja kunakuwa na mambo ya kukutana, kufahamiana na kufanya ki-tafrija kidogo.
Hivyo basi kama ilivyo kawaida ya wana Jf, tumeamua kukutana, kupiga story mbili tatu, kula, kunywa na kucheza pamoja kama wadau walivyotaka. Maana wameona kimya na party hakuna tena kama ilivyo desturi ya hapa Jf.
Hivyo basi, kutakuwa na JAMII FORUMS GET TOGETHER PARTY hapo mwezi wa kumi na mbili (December).
Na vile vile tumependekeza mambo yafuatayo katika kuelekea siku hiyo ya party yetu.
Mambo yenyewe ni kama ifuatavyo:
1. Eneo la kukutania kwa ajili ya party ni pale AFRICAN HOUSE LOUNGE iliyopo pale block 41 Kinondoni karibu na Best Bite Namanga.
Hapa tutachagua kama tutakaa sehemu ya garden au ndani ya kiukumbi amazing.
2. Mchango ambao tumependekeza ni Tsh 30,000/= ambao utajumuisha vinywaji, ukumbi na chakula.
3. Michango kwa ajili ya party hiyo itumwe kwenye namba ifuatayo;
Tigo pesa.
0716-394882 jina May Fidellis.
Ukishatuma mchango wako, njoo pm kwa Mzigua90 au kwa Madame B ukiwa na screenshot ya message ya pesa uliyotuma ili upate namba ya uthibitisho wa kuingilia ukumbini siku hiyo.
●Pili, Pia unaweza kunitext kwa message ya kawaida kwenda kwenye namba hiyo hapo juu ili uweze kuniambia jina lako ulilotuma pesa na ID yako unayotumia.
●Tatu, pia unaweza kutumia njia ya tatu ya kutuma pesa kwa ambao hawatapenda wajulikane ID zao.
Fanya hivi:
Tuma pesa kwa namba hiyo, ukishamaliza kutuma, njoo kwa text ya kawaida useme kuwa umetuma pesa na limetokea jina flani halisi au la wakala uliyetumia kutuma pesa na wala haina haja ya kutaja ID
Tukihakikisha ni kweli unawekwa kwa list.
Maana si wote watapenda tufahamu ID zao halisi hapa Jf.
4. Dress code ya siku hiyo ni:
WANAUME/WANAWAKE
●Tshirt/shati nyeupe au nyeusi.
●Jeans suruali ya bluu/nyeusi
●Jeans kaptura ya bluu/nyeusi
Pia kwa wadada wasioweza kuvaa suruali au kaptura wavae black dress (dress to impress)
Tupendeze jamani....
Party ya kwetu hii....
5. Tarehe ya party ni tarehe 15/12/2018 siku ya Jumamosi kuanzia saa kumi kamili jioni mpaka usiku sana.
6. Unaweza kuanza kutuma mchango wako kuanzia sasa hivi.
Na mwisho wa kupokea mchango wako ni tarehe 08/12/2018 saa kumi na mbili jioni.
7. Majina ya waliochangia party yatawekwa hapa jukwaani katika updates zetu.
Kwa ambao hamtapenda kuwekwa majina yenu hadharani,hatutayaweka.
Natumaini wote tutakuwa tumeelewana kuhusu ujio wa hii party yetu ya JF.
Tunaomba tuhudhurie kwa wingi ili tuweze kufahamiana na kupiga story mbili tatu.
NB:
Ukumbi unachukua watu 70 tu.
Hivo kuwahi kwako kutoa... ndipo urahisi wako wa kupata nafasi ya kuhudhuria party hii kabambeeeee!!!!
KARIBUNI.....KARIBUNI!!!!View attachment 866450View attachment 866451View attachment 866452View attachment 866453View attachment 866454View attachment 866455View attachment 866456View attachment 866457View attachment 866458View attachment 866459View attachment 866460View attachment 866461
HALAFU NAOMBA TUSIKILIZANE JAMANI.
TUMEFANYA PARTY MARA 3 HAPA JF...NA WAANDAAJI TULIKUWA SISI WENYEWE.
KAMA KUNA MTU TULIMDHULUMU/KUMLIA PESA YAKE KWA PARTY ZILE ZILIZOPITA AJE NA USHAHIDI HAPA JUKWAANI.
MAANA NAONA WENGINE MNAONGEA UTUMBO NA UJUAJI MWINGI.
KAMA WEWE HUTAKI KUHUDHURIA, PITA KUSHOTO.
USILETE UJUAJI HAPA.
NA KWA TAARIFA YENU, WAHUDHURIAJI WATAKUJA TU.
HALAFU SIO KILA KITU NI LAZIMA USHIRIKI.
KAMA HUTAKI...WAACHIE WANAOTAKA WAJE.
WEWE CHANGIA MADA, KOSOA, LETA UJUAJI....ILA AT THE END....PARTY ITAFANYIKA TU.
WENYE PESA ZAO...WATAKUJA.
WENYE UHITAJI....WATAKUJA.
KAKA/DADA PITA KUSHOTO.
MNAKERA
UPDATES YA WALIOTOA:
Mzigua90
amu
Madame B
Mwambie Wit anakupa hi...he knows me well!Soon anafika
Umeona eehh!jirani yangu!naomba uwe partner wangu tafadhali!!!Events kama hz ni Kosa kuzikosa
I real apreciate you boss but make sure when you put comment in English language try to minimize if not to remove all the typing error... Good day bossBrother Don ananiazima kidride/phonex yake. Utakaa nyuma
Usiku hamna inzi wewe usiku kama huoo!!!Wanywa soda mtengewe eneo lenu muhangaike na nzi vizurii
oopsss nilimanisha kbla hamjakwea kwenda zenji twende kwa pari...Unataka kwenda Serengeti?