[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mamamaaaaa hapo kwenye wavu itakuwa hatari unaweza kuja kutuvua misamaki mikubwa kama sisi vile maana naona kabisa lengo la wavu yako ni kuja kutuvua tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jipangeni muandae yenu gulioni.
Huyo bonge niHapa nikiwa na Mzigua90 tukiwasubiri mlangoni wale waliochanga kwa ajili ya Party
View attachment 866740
Haaahaaahaaa...View attachment 866746
Kutoka kushoto witnessj
Cole Williams akiwa na sweetlee na huyo kulia ni Mama Sabrina akiwaaga kuwa anakwenda kwa G
KwakweliHapo kwny masharti ya mavazi patawashinda watu wengi sn.
Baada ya kuona hizo picha nadhani maudhui ya hii party yameelekea pengine.
Kuna watu wamezoea kuvaa kwa kujisiritiri ukishambadilishia mavazi aliyozoea ni shida
Mimi nataka picha bro,kwani picha nayenyewe ni katika hayo mengine ?Sio kwamba tutakayoyaona huko yaishie huko huko[emoji23]?
Nilifeli kama zotee...aiseehh!yani nna zero kabisaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwani lile somo la Heineken ulifeli [emoji23][emoji23]
Ntavaa neti!!!Kung'atwa
Msije mtaingia na mapanga ukumbini!!!Mikoani tunaruhusiwa kujumuika?
Miss youAiseee... Umenikumbusha mbali, Enzi za Escape One, watu tulikwea pipa toka mikoani tulaja kula bata...
Chezeiya JF party, achana na vijana wajuzi hawajui utamu wa party..
Wapi Vin Diesel , Elizabeth Dominic, mwekundu , Nicas Mtei , Ruttashobolwa , Slave, Mwita Maranya , Madame B , lara 1 na wengineo
Sasa Mimi wa soda na bia tunalinganaje michango si uzulumishi huuooo!!!Kutakuwa na security camera every where.. tukikukamata na huo wizi itakubidi uondoke na Gudume hadi gheto kwake
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Madame B!!!