JF-get together party Disemba 2018

ukhuty na Hajar
Chagueni vya kuvaa.
Mshindwe nyie sasa
Hapa mnapigilia jeans na hijab zenu juu



Hapa sasa kitu cha jeans kiko ndani kwa ndani na juu mmedamshi wa baibui safiii!!!



Hapa sasa mkivaa hivi mtadamshi ila mtatuchanganya wambea sisi, kwamba mmevaa baibui au jeans.
ila nyie ndo hamjali lolote.
 
Tarehe 2 December nita support mdada 1 tu asizidi ila masharti yatazingatiwa. sijamjua ni nani il akadri siku zinavyokwenda nitamjua, ikitokea ombi linakuja inbox sawa nitalipokea na kulifanyia kazi.
 
Wala usijali
Mkijaa tutahamia ukumbi mwingine humohumo ndani.
Yaani tuko full chaji
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dada ila sio kwa kutuotea hivyo hapa ndio tunapanga na kupangua iitokea nafasi tumeipata tutoke vipi.

Ila sie wa mashungi ikitokea tumekuja mtatujua tu kwa kweli. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ maana sijui kama hatutakuwa wawili tu ukumbi mzima. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ukhuty hebu pita huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…