JF-get together party Disemba 2018

Si lazima wote muende,acha wanaoweza kwenda waende.
Huna hela kaa nyumban
 
Kuuumbe! Sikua nimemkariri aisee

Uzuri ni kwamba tatizo ukishalijua halikusumbui tena

Furahia maisha kwa mapana Hajar hakuna anaemlisha wala kumvisha mtu humu

Kila mtu na mipango, njia na maisha yake
Kwa hiki ulichoandika nahitimisha kwa lile neno lako pendwa kabisa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

NAKAZIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…