JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Tena aibu kubwa mno Wa Nyumbani.

Ingekuwa lazima hapo sawa kumbe hiari ila mtu anapovuuka kuliko kawaida. Utadhani kama anagekuja huko ukumbini angekuwa mke wa mtu peke yake. Teh teh teh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimuona kule kwenye uzi wetu alikuparamia kwelikweli[emoji23] [emoji23]

But hilo ni dume trust me!....na hiyo ID kafungua baada ya kufungiwa maisha ID yake kongwe!

Hakuna cha Mama Debora or Mama Debaya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
JF-get together party.
Hivi jf ni dar tu?
Hivi jf ni watu 70 tu?

Hivi kama na me ntaorganize party ya hivyo huku bariadi nitaweza kuiita hivyo hivyo?

Me nadhani jina limekua pana sana.
Unaweza iita hata JF dance party. Hilo ni jina LA event tu mkuu halina maana ya kwamba members wote lazima washiriki
 
Back
Top Bottom