Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Na sijui kama ana ndimu yakumsaidia kuzuia kutapika!πππAtachafuka tu roho yake
Aiseee... Umenikumbusha mbali, Enzi za Escape One, watu tulikwea pipa toka mikoani tulaja kula bata...
Chezeiya JF party, achana na vijana wajuzi hawajui utamu wa party..
Wapi Vin Diesel , Elizabeth Dominic, mwekundu , Nicas Mtei , Ruttashobolwa , Slave, Mwita Maranya , Madame B , lara 1 na wengineo
Aamin..Inna swalaata kaana alal mu'uminiina kitaaban maukuta.....swadakallah
Asante pamoja na wewe."Za sahizi? mbona watu wengi sana ile ya .......haifanyi kazi nini".na stail ya nywele kama mkorea.
usijali madam upo salama. wikiend njema.
Siku moja moja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Miranda nyeusi huwa unadeal nazo tangu lini lakiniiii
Nilimuona kule kwenye uzi wetu alikuparamia kwelikweli[emoji23] [emoji23]Tena aibu kubwa mno Wa Nyumbani.
Ingekuwa lazima hapo sawa kumbe hiari ila mtu anapovuuka kuliko kawaida. Utadhani kama anagekuja huko ukumbini angekuwa mke wa mtu peke yake. Teh teh teh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pamoja cuteAsante pamoja na wewe.
Usifanye hivyo unajishushia Credit [emoji23][emoji23]Siku moja moja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaweza iita hata JF dance party. Hilo ni jina LA event tu mkuu halina maana ya kwamba members wote lazima washirikiJF-get together party.
Hivi jf ni dar tu?
Hivi jf ni watu 70 tu?
Hivi kama na me ntaorganize party ya hivyo huku bariadi nitaweza kuiita hivyo hivyo?
Me nadhani jina limekua pana sana.
Kuna watu wanaona kuwa wake za watu ndo ticket ya kuingia mbinguniTena aibu kubwa mno Wa Nyumbani.
Ingekuwa lazima hapo sawa kumbe hiari ila mtu anapovuuka kuliko kawaida. Teh teh teh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itambidi apambane na hali yake tu hakuna namnaNa sijui kama ana ndimu yakumsaidia kuzuia kutapika!πππ
Yani weka mambo vizuri kabisaaa, kufika usiwaze.Wacha niendelee kutafuta kivazi matata kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ONYO
Ma Ben 10 hawatakiwi.
Sawa jiraniYani weka mambo vizuri kabisaaa, kufika usiwaze.
Hilo niachie mm.
Kumbe anamsumbua ndugu yangu eeh.Nilimuona kule kwenye uzi wetu alikuparamia kwelikweli[emoji23] [emoji23]
But hilo ni dume trust me!....na hiyo ID kafungua baada ya kufungiwa maisha ID yake kongwe!
Hakuna cha Mama Debora or Mama Debaya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitajitahidi kuacha mpenziUsifanye hivyo unajishushia Credit [emoji23][emoji23]
[emoji7][emoji7]Nitajitahidi kuacha mpenzi