Sasa jf ina mamilioni ya watu halaf party ni watu hamsini,sijaona logic hapo...kama mlikuwa serious na party yenu mlitakiwa mkusanye michango mjue idadi halaf ndio mtafute venue ya kutosha watu waliolipia.
Otherwise bora mjichague watu 50 mkutane
kwakweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usafiri vipi kwa tunaokaa Chanika
KAMA IDADI YA WATU NI NDOGO SANA
Ndio dress code walioamua waandaji. Hilo la vazi la kijanja unasema wewe.Ushamba nikuona jinsi ndo vazi la kijanja kuliko mengine
Neno hilooo!!na mi nimoooVijora haviruhusiwi?
Mimi na mume wangu na marafiki zangu tutalipia mapema sana.
Nifikirieni kuhusu kuvaa kijora
Hahhha unanitafuta maneno ujue wewe dada halafu hapa si mahala pake ebu niwache mm[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe!wa mtaani hapana BTW nimetania tu sihitaji partner wakati shuniii yupooo....she is my partner asipoenda siendii!!!
Wozaaaaaaaa!!!!;Wooooozer woooozer mambo yamekwiva!
Hakika hii parrr si ya kukosa!
Mm naona tujigrupu naww tukodi kapikipiki though sijui kuendeshakwakweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha haipendezi ke kwa ke.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe!wa mtaani hapana BTW nimetania tu sihitaji partner wakati shuniii yupooo....she is my partner asipoenda siendii!!!
JF NI KUBWA SANA MKUU 50 NI WATU WACHACHE SANAMkuu kwa uzoefu wa hizi kitu usishangae hao ni wengi sana.
Maneno gani shunii wangu Mimi...!!!utaenda huendii....hahaaahaa!!!!Hahhha unanitafuta maneno ujue wewe dada halafu hapa si mahala pake ebu niwache mm
Hawaruhusu dear..Vijora haviruhusiwi?
Mimi na mume wangu na marafiki zangu tutalipia mapema sana.
Nifikirieni kuhusu kuvaa kijora
Hawa wanaitwa wapambe (hawalipi kiingilio)Naona umerudi kwa ID nyengine
Asante kwa kuniunga mkono. Ngoja idadi iongezeke pengine tutafikiriwa.Neno hilooo!!na mi nimooo
kuna magari bunju B.yameandikwa.Wajanja wataingizwa mjini kwenye Uzi huu
Mimi sichangii part yenyewe inaamashariti sana