JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Kitendo cha kunichagulia cha kuvaa ninakosa qualifications.

Pia, Eneo la party yenyewe haiko poa.

Ishu kama hizi tupeni wazoefu, watu tukale bhata ufukweli au mbugani.
Kwa taarifa yako.
Party ya kwanza ilifanyika Kebbys Hotel
Ya pili Coco beach
Ya tatu Escape one.

Asa ulikuwa unahitaji ukale bata wapi?
Zizini kwao au?
Eti mzoefu.
Buni chako ukirembe kaka
 
Sio lazima uhudhurie mkuu.
Na wala hujalazimishwa my dear

BTW, waandaaji ningeshauri mtoe angalizo kuhusu kupon za vinywaji.

i.e kwenye hiyo 30,000/- nakunywa vinywaji approx bia ngapi kwa rate ipi?

Ili wengine tujue kama tuanze kunywa nje tuje kumalizia au tuje na balance sh ngapi kujazia patakapopungua.
 
Back
Top Bottom