Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
HaaaaaNaiona janja yako ya kutaka kupanda mishkaki...
Brother ake nakutegemea mno kwenye hii issue ya usafiri..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaaaaaNaiona janja yako ya kutaka kupanda mishkaki...
Asee[emoji15]😀😀😀😀😀😀😀 Nataka nije DSM kusafisha nyota na Mrembo mtekemteke hawa wa huku porini ngozi ngumu kama ya goti nishawazoea.
Atakaeshindwa kuja sababu ya dress code atakua na sababu zake nyingine.Hapo kwny masharti ya mavazi patawashinda watu wengi sn.
Baada ya kuona hizo picha nadhani maudhui ya hii party yameelekea pengine.
Kuna watu wamezoea kuvaa kwa kujisiritiri ukishambadilishia mavazi aliyozoea ni shida
PoleniMaisha ya nyuma ya keyboard kuwa reality. Tulio koromije naona party imetukosa
Soda moja, juice ya box ya embe (azamu)
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu coco pakubwa sana labda watoto wa after school bash ndo wanaweza pataka hapo50?? serious kweli jamani wekeni coco beach pale full nyomi
HahahahahaaaDah
Yaani watu hamsini tu??
Hapo itabidi nisubiri ile kitu inaitwa fungulia dogi.
Ila lazima nihudhurie hii piga ua.
Unantamanisha![emoji15]Aiseee... Umenikumbusha mbali, Enzi za Escape One, watu tulikwea pipa toka mikoani tulaja kula bata...
Chezeiya JF party, achana na vijana wajuzi hawajui utamu wa party..
Wapi Vin Diesel , Elizabeth Dominic, mwekundu , Nicas Mtei , Ruttashobolwa , Slave, Mwita Maranya , Madame B , lara 1 na wengineo
Mchuchu utakuja nae at utamuibua siku hiyo mkuu?Lazima nitakuwepo party ikiisha nanyoosha mpaka gheto Tegeta na mchuchu wangu
Sawa mimi nawashwaa!!Ngoja nikupe ban utulie.
Unawashwa sana wewe
Mkuu unapajua hapo kwenye hilo eneo? Haya mzoefu ulikua unataka twende wapi?Kitendo cha kunichagulia cha kuvaa ninakosa qualifications.
Pia, Eneo la party yenyewe haiko poa.
Ishu kama hizi tupeni wazoefu, watu tukale bhata ufukweli au mbugani.
Unantamanisha![emoji15]
Karibu kwako mkuu...mimi wa Gezaulole imekula kwangu,siwezi kujaNashukuru mmechagua karibu, maana lile wazo lako la Kigamboni lilikuwa linanifikirisha balaa.
Haaaaa
Brother ake nakutegemea mno kwenye hii issue ya usafiri..
Ndo zangu hizooiSoda moja, juice ya box ya embe (azamu)
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]