Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji125]Sawa mimi nawashwaa!!
Ila we tunaekujua kwa biashara haramu hatupati shida na wewe
Couple yangu siku hiyoI’ll be there
Ndo maana ya dress code dear. Ndo maana wanaovaa madera au baibui au NGUO yeyote kwa wadada iwe nyeusi. Wanaume sitak kuamini hamna ambae hana jeans ya blue au nyeusiMadame B hapo kwenye mavazi jamani mngeacha kila mtu avae alivyozoea sijui lakini ni mawazo yangu tu
Ngoja nipambane na huyu madame kwanza,Mkuu unapajua hapo kwenye hilo eneo? Haya mzoefu ulikua unataka twende wapi?
Utasubiri sana mkweHayupo bongo sasa...!!!yeye analipa tu!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tutajitenga siku hyooo!!!Nimetabasamu tu, naeza udhuria kuja kuwaoneni nyote....
We Fanya kunipa mapema kabisa.Kuna kitu unanitafuta naona, na utakipata.
Ndo kusemaaa...kwa Li yuko wapiii...[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2]Utasubiri sana mkwe
Jamani si upande boda boda starehe gharama atiShida ni je nitapata usafiirr wa kunileta chanikaa mwisho
Personally sikuona suggestion yako. Ulisuggest tufanye eneo gani? Ukumbuke hapa mjini maeneo kariby yote yanalipwa hasa huko beach uliposema. Coco hapafai kukutana labda tuandae makutano ya kwenda kula mihogoHata,
Kwanza baada ya kuona mpangilio wa party na maudhui yake niliona hakuna haja ya ukumbi.
Na nilieleza pia.
Ohoooo ila mimi nitapendelea ukivaa kama hivi bila zile 10cm[emoji23]Kipo kama kanzu dear sema chenyew chepesi.
Na wewe si utakuwepo ? Nakuahidi sitavaa zile high.....
Karibu kwako mkuu...mimi wa Gezaulole imekula kwangu,siwezi kuja
Tutaondoka woteee!!!Shida ni je nitapata usafiirr wa kunileta chanikaa mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka. tukodi daladalaMm naona tujigrupu naww tukodi kapikipiki though sijui kuendesha