Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kuna gauni skirts baibui dera vyote hivyo MTU ataogopa kuvaa pia?Watu wanaogopa kuvaa jeans....usipopendeza kwenye jeans afadhali usije tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna gauni skirts baibui dera vyote hivyo MTU ataogopa kuvaa pia?Watu wanaogopa kuvaa jeans....usipopendeza kwenye jeans afadhali usije tu!
He he acha nilaleMkwee...nshalipiwa miyee...na wajua kabisaa alipo shuni nipoo...[emoji2] [emoji2] [emoji2] sina partner zaidi yakee!!!
Naomba niwe mpish mkuu ... Mi sina hela ... Ila nshawah mpikia obama ..Kwani umeambiwa ni lazima kuchanga?
Naomba unichangie usafir tafadhariJamani si upande boda boda starehe gharama ati
Waoooh, naona tunaendana karibia kila kitu.Ndo zangu hizooi
Kwahiyo wanaume kirahisi kuvaa kwenu kilikua nini? Suti au suruali za vitambaa?Ushamba nikuona jinsi ndo vazi la kijanja kuliko mengine
Kumbe sisi wa huku koromije tunapitwa na mengi huko mjini ndugu yangu .Jipangeni muandae yenu gulioni.
Pensi na T-shirtMa-Padre Dress-Code yetu vipi kwenye hiyo Tafrija
Maoni kama haya ya kujazia penye upungufu ndo nayahitaji.BTW, waandaaji ningeshauri mtoe angalizo kuhusu kupon za vinywaji.
i.e kwenye hiyo 30,000/- nakunywa vinywaji approx bia ngapi kwa rate ipi?
Ili wengine tujue kama tuanze kunywa nje tuje kumalizia au tuje na balance sh ngapi kujazia patakapopungua.
Mimi niwe mkweli siji kwasababu sitaki kugonganisha magari.Kweli hapo nimekuwa mbinafsi, ila nimechukulia first plan Kigamboni, then Kinondoni naona kama ni Centre, hata Uber, Taxify, Bajaj zinapatikana kwa wasio na private.
All in all tuombe ifanikiwe, maana hakuna party isiyo na changamoto.
Kuna watu hatutakuja kwa sababu binafsi lakini tunasingizia dress codes, ukumbi nk
Inaweza ongezeka Mkuu cha msingi michango tuKAMA IDADI YA WATU NI NDOGO SANA
Hmm shem hii mpya sasaEbu njo huku Wick ulipe twende
Kijora cheusi shooVijora haviruhusiwi?
Mimi na mume wangu na marafiki zangu tutalipia mapema sana.
Nifikirieni kuhusu kuvaa kijora
We we unaishi wapi? Wazo zuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka. tukodi daladala
Hahaha coco.. Kuna mihogo na vijimshkaki flan kule cheapYani twende coco kufanya party?
Amkaa tu maamaa....[emoji2] [emoji2] tunapaswa tudiskasii kama vyotewHe he acha nilale
Hahahaha ngoja nikulie misele Mimi.Nakusaka sikuoni
Ruka ukuta na wewe acha wogaingekua kwetu hakuna mbwa ningekuja
aisee hii haitafaa kwangu kwakweliPensi na T-shirt