Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Ok kinacho takiwa na cha msingi nisikose TuInaweza ongezeka Mkuu cha msingi michango tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok kinacho takiwa na cha msingi nisikose TuInaweza ongezeka Mkuu cha msingi michango tu
Si umeona picha hizo? Hao ndio wahudhuriajiKumbe sisi wa huku koromije tunapitwa na mengi huko mjini ndugu yangu .
Safi sana sijui watatufikiriaje waandaaji hawaWaoooh, naona tunaendana karibia kila kitu.
Maana Mimi mwenyew hapa pombe sinywi na grand malt sinywi maana ni dalili za kuanza kunywa pombe [emoji13][emoji13][emoji13]
Watu wanajua kukosoa kila kitu.Ndio dress code walioamua waandaji. Hilo la vazi la kijanja unasema wewe.
Shida ni je nitapata usafiirr wa kunileta chanikaa mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mimi niwe mkweli siji kwasababu sitaki kugonganisha magari.
Na ndo hawatokeagi sasa kwenye mikusanyiko mkuuJF NI KUBWA SANA MKUU 50 NI WATU WACHACHE SANA
Ndio jamii inakamilika.Watu wanajua kukosoa kila kitu.
U can't b serious GM...upambane na she? For what purpose?Ngoja nipambane na huyu madame kwanza,
Wewe unajua T-shirt ya hivyo siwezi kuvaa. Hahah nitajitahidi.Ohoooo ila mimi nitapendelea ukivaa kama hivi bila zile 10cm[emoji23] View attachment 866480
Nashukuru mama tumekwisha zoeaPoleni
Milkshake[emoji484]... Azamu utavimbiwaSoda moja, juice ya box ya embe (azamu)
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
KaribuuCOUNT ME IN
Shem [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu niacheHmm shem hii mpya sasa
Saa 10 jioni party ya ubatizo au?Party inaanza saa 10 jioni, ukikaa mpaka saa 3 unapata gari za Buguruni, then Chanika.
Ila kuondoka saa 3 ni kama party itakuwa haijaanza.
Sio kwa JF hii mkuu. Unaweza kuta mpaka hiyo siku watu wako 20Madame B mimi nataka nitoe 10x3 yani in instalment october 10, november 10 na december 10 sasa mbona kama ntalikosa party, mtu 50 zinatimia leo hii [emoji42]
Brother Don ananiazima kidride/phonex yake. Utakaa nyumaHahahaha ngoja nikulie misele Mimi.
Tatizo unanitafuta kwa miguu nunua gari
Hata ukija na pichu tu ila nyeusi ni wewe tu mamaWanaruhusu?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Saa 10 jioni party ya ubatizo au?
Thnx loovvvvv!!!!!U can't b serious GM...upambane na she? For what purpose?
We toa alternative premises, tuone kama tunaweza secure it...party ni ya kwetu wote hakuna owner wa hii party!