JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Kwenye malipo hapo naona kutakuwa na wepesi Wa nyie waandaji kumfahamu kila mtu
..
nitajihidi nihudhurie Ila sitapenda mtu yoyote anielewe ..my take Kama mnaweza kuboresha zaidi itapendeza

Baada ya malipo nikiscreeshort nitawatumia afu nyie mtanipa namba ya kuponi hivyo mtajua Kelvin Ana kupon namba ngapi hii itasababisha shushu Wa kujitegemea ninaswe kirahisii

Kama kutakuwa na njia mbadala naamini itakuwa njia nzuri kwa mashushu aina yangu

Wenu mtiifu marcus
 
BTW, waandaaji ningeshauri mtoe angalizo kuhusu kupon za vinywaji.

i.e kwenye hiyo 30,000/- nakunywa vinywaji approx bia ngapi kwa rate ipi?

Ili wengine tujue kama tuanze kunywa nje tuje kumalizia au tuje na balance sh ngapi kujazia patakapopungua.
Maoni kama haya ya kujazia penye upungufu ndo nayahitaji.

Mkuu Don Clericuzio kwa maelezo ya jinsi ya kuchangia pesa za ziada njoo Pm kwangu au kwa Mzigua90 au piga namba hiyo hapo juu
 
Kweli hapo nimekuwa mbinafsi, ila nimechukulia first plan Kigamboni, then Kinondoni naona kama ni Centre, hata Uber, Taxify, Bajaj zinapatikana kwa wasio na private.

All in all tuombe ifanikiwe, maana hakuna party isiyo na changamoto.

Kuna watu hatutakuja kwa sababu binafsi lakini tunasingizia dress codes, ukumbi nk
Mimi niwe mkweli siji kwasababu sitaki kugonganisha magari.
 
Back
Top Bottom