Nakuomba pm nikupe ile kituOyeeeeee!!!!
Sure, ila wanawezaguswa wengi (hata kwa dar pekeake) halafu kizingiti kikawa venue capacity.Unaweza iita hata JF dance party. Hilo ni jina LA event tu mkuu halina maana ya kwamba members wote lazima washiriki
Kumbe unakumbuka mwaya.Nilimuona kule kwenye uzi wetu alikuparamia kwelikweli[emoji23] [emoji23]
But hilo ni dume trust me!....na hiyo ID kafungua baada ya kufungiwa maisha ID yake kongwe!
Hakuna cha Mama Debora or Mama Debaya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naam!!!! muda wa party ndiyo mzuri kwao kulala.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaa, kwakweli aisee....vinginevyo atapata tabu sanaItambidi apambane na hali yake tu hakuna namna
Atapata tabu sanaKumbe unakumbuka mwaya.
Hata namie najikuta naamini hivyo ni Me huyu.
Ila kazi anayo maana kuwa na id mpya isiyo na adabu kina sie tunamuona kama punguwani.
ππππKuna watu wanaona kuwa wake za watu ndo ticket ya kuingia mbinguni
Mkuu venue haijawahi kuwa tatizo bali washiriki. Yani unaweza tafufa ukumbi wa watu 100 wakaja watu 30. Ndo maana tumetafuta huo kutokana na mahudhurio ya watu huko nyumaSure, ila wanawezaguswa wengi (hata kwa dar pekeake) halafu kizingiti kikawa venue capacity.
Basi atakua shoga. Mwanaume unajiongeleaje kuolewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waeza kuta ni Me pia.
Umeonaeeee.Atapata tabu sana
nimekushindwa wewe nimecheka loohππππKuna watu wanaona kuwa wake za watu ndo ticket ya kuingia mbinguni
Mimi kuimba sitaki kabisa.Tupangeni siku tukutane hapo tukaimbe karaoke
Yaan huyo ndo zake! Dume kujifanya jike nacho kipaji!Kumbe unakumbuka mwaya.
Hata namie najikuta naamini hivyo ni Me huyu.
Ila kazi anayo maana kuwa na id mpya isiyo na adabu kina sie tunamuona kama punguwani.
Tena kipaji hasa mwaya.Yaan huyo ndo zake! Dume kujifanya jike nacho kipaji!
Okay, understood.Mkuu venue haijawahi kuwa tatizo bali washiriki. Yani unaweza tafufa ukumbi wa watu 100 wakaja watu 30. Ndo maana tumetafuta huo kutokana na mahudhurio ya watu huko nyuma
Acha Dada. Alishanipa vipande vyangu mwaya.Kumbe anamsumbua ndugu yangu eeh.