JF-get together party Disemba 2018

Hapana yuko sahihi
 
Kumbukumbu yako ni photographic Raynavero,nimekuvulia kofia mama, hahahaaaa

Ni Wande anaitwa, Hajambo yuko zake shule saizi, asante kumkumbuka
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hapana kisa kilinigusaa..maneno yako ya Leo yamenikumbusha madrasatu Shamsiyaaa mwanayamala B kwa mzee mbanje Allah (s.w)amuweke rehmaani....
 
Sasa jf ina mamilioni ya watu halaf party ni watu hamsini,sijaona logic hapo...kama mlikuwa serious na party yenu mlitakiwa mkusanye michango mjue idadi halaf ndio mtafute venue ya kutosha watu waliolipia.


Otherwise bora mjichague watu 50 mkutane
Aisee! Wajichague tu wanaume wa dar na wanawake wa dar! Mi naona ingekuwa vizuri taarifa ingetoka mwezi wa nne huko, tungechagua mkoa, mfano dodoma iko katikati, wanajamii forum wa mara, kigoma, kagera, iringa na wengineo ni rahisikufika. Tena hata uwanja ule wa mpira tunaujaza kwa michezo mbalimbali, na kukodi wanamziki wa kutupa burudani, hiyo ya watu 70 mtaishia kunaniliana tu......... I 'm Sorry.....!!
 
Next time mkuu tutaangalia eneo lingine. Hata Mimi Dodoma naafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…