Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] anaa Muslim...!!bas tu najisahau but proud to be!!!Ulivoitamka hiyo Madrasatu Shamsiyya kwa hukm zake mie huku hoi😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] anaa Muslim...!!bas tu najisahau but proud to be!!!Ulivoitamka hiyo Madrasatu Shamsiyya kwa hukm zake mie huku hoi😀😀😀
Nyie pangeni yenu mbona arusha washafanyaga enzi hizoooHii italeta mvutano, wa kigoma watataka kigoma huko! Mwisho tutaunda team za jamii mwanza, jamii forum mbeya nk, tusifosi mambo.
Kunradhi ndugu yangu Zurri nisamehe sanaKaka unaniwekea kiwingu ujue...!?
Achana nae huyuu!umeona nimemjibuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!ya kwetu ya msingi kuliko yakeeeKunradhi ndugu yangu Zurri nisamehe sana
Ngoja niondoke kabisaa hapa niende kulee kwenye jukwaa la siasa nikatengeneze stresi kule kidogo😀😀😀
I rest my case
Usiondoke ila ukiona mahala nimetia mguu wangu kaa pembeni.Kunradhi ndugu yangu Zurri nisamehe sana
Ngoja niondoke kabisaa hapa niende kulee kwenye jukwaa la siasa nikatengeneze stresi kule kidogo😀😀😀
I rest my case
Unacheka tena. Jibu swali fasta nikupe hazina ya maneno !Hahahahaa
Daaah,naumia sana ....!Achana nae huyuu!umeona nimemjibuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!ya kwetu ya msingi kuliko yakeee
Wa ana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] anaa Muslim...!!bas tu najisahau but proud to be!!!
Nisamehe sirudii tena. Naendelea kusoma michango.Achana nae huyuu!umeona nimemjibuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!ya kwetu ya msingi kuliko yakeee
Ungeweka picha yako na ya Mzigua90 mkiwa katika hayo mavazi pendekezwaHabari wana Jf kwa ujumla, nadhani mko salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu.
Kama ilivyokawaida ya wanajumuiya iishiyo pamoja kunakuwa na mambo ya kukutana, kufahamiana na kufanya ki-tafrija kidogo.
Hivyo basi kama ilivyo kawaida ya wana Jf, tumeamua kukutana, kupiga story mbili tatu, kula, kunywa na kucheza pamoja kama wadau walivyotaka. Maana wameona kimya na party hakuna tena kama ilivyo desturi ya hapa Jf.
Hivyo basi, kutakuwa na JAMII FORUMS GET TOGETHER PARTY hapo mwezi wa kumi na mbili (December).
Na vile vile tumependekeza mambo yafuatayo katika kuelekea siku hiyo ya party yetu.
Mambo yenyewe ni kama ifuatavyo:
1. Eneo la kukutania kwa ajili ya party ni pale AFRICAN HOUSE LOUNGE iliyopo pale block 41 Kinondoni karibu na Best Bite Namanga.
Hapa tutachagua kama tutakaa sehemu ya garden au ndani ya kiukumbi amazing.
2. Mchango ambao tumependekeza ni Tsh 30,000/= ambao utajumuisha vinywaji, ukumbi na chakula.
3. Michango kwa ajili ya party hiyo itumwe kwenye namba ifuatayo;
Tigo pesa.
0716-394882 jina May Fidellis.
Ukishatuma mchango wako, njoo pm kwa Mzigua90 au kwa Madame B ukiwa na screenshot ya message ya pesa uliyotuma ili upate namba ya uthibitisho wa kuingilia ukumbini siku hiyo.
●Pili, Pia unaweza kunitext kwa message ya kawaida kwenda kwenye namba hiyo hapo juu ili uweze kuniambia jina lako ulilotuma pesa na ID yako unayotumia.
●Tatu, pia unaweza kutumia njia ya tatu ya kutuma pesa kwa ambao hawatapenda wajulikane ID zao.
Fanya hivi:
Tuma pesa kwa namba hiyo, ukishamaliza kutuma, njoo kwa text ya kawaida useme kuwa umetuma pesa na limetokea jina flani halisi au la wakala uliyetumia kutuma pesa na wala haina haja ya kutaja ID
Tukihakikisha ni kweli unawekwa kwa list.
Maana si wote watapenda tufahamu ID zao halisi hapa Jf.
4. Dress code ya siku hiyo ni:
WANAUME/WANAWAKE
●Tshirt/shati nyeupe au nyeusi.
●Jeans suruali ya bluu/nyeusi
●Jeans kaptura ya bluu/nyeusi
Pia kwa wadada wasioweza kuvaa suruali au kaptura wavae black dress (dress to impress)
Tupendeze jamani....
Party ya kwetu hii....
5. Tarehe ya party ni tarehe 15/12/2018 siku ya Jumamosi kuanzia saa kumi kamili jioni mpaka usiku sana.
6. Unaweza kuanza kutuma mchango wako kuanzia sasa hivi.
Na mwisho wa kupokea mchango wako ni tarehe 08/12/2018 saa kumi na mbili jioni.
7. Majina ya waliochangia party yatawekwa hapa jukwaani katika updates zetu.
Kwa ambao hamtapenda kuwekwa majina yenu hadharani,hatutayaweka.
Natumaini wote tutakuwa tumeelewana kuhusu ujio wa hii party yetu ya JF.
Tunaomba tuhudhurie kwa wingi ili tuweze kufahamiana na kupiga story mbili tatu.
NB:
Ukumbi unachukua watu 70 tu.
Hivo kuwahi kwako kutoa... ndipo urahisi wako wa kupata nafasi ya kuhudhuria party hii kabambeeeee!!!!
KARIBUNI.....KARIBUNI!!!!View attachment 866458View attachment 866453View attachment 866454
UPDATES YA WALIOTOA:
Mzigua90
amu
Madame B
RRONDO
UPDATES:
●Kutakuwa na RED CARPET matata sana toka kwa wadhamini wa Party yetu ambao ni JAMII FORUMS MEDIA
●Pia kutakuwa na picha mnato kutoka kwa wadhamini na waandaaji.
Na vingine vingi vinakuja....
SI YA KUKOSA KABISA
sawa nashukuru weka ya nafasi 7 basi naja na mumeKwa heshima yako nakuwekea
Bro endelea tu,yamenikuta makubwa !Wa ana
Basi msitumie "wana jamii forum" hilo neno lina maana pana na linabeba wanachama wengi. Msikurupuke siku nyingine.Nyie pangeni yenu mbona arusha washafanyaga enzi hizooo
Nakaa mbaali kabisa mzee baba, kama afanyavyo kunguru mwoga😀😀😀Usiondoke ila ukiona mahala nimetia mguu wangu kaa pembeni.
Nachelea pumzi zangu bro !Nakaa mbaali kabisa mzee baba, kama afanyavyo kunguru mwoga😀😀😀
Nakuachia uondoke na point zote tatu na magoli mawili, vyote vya mezani mkuu😎😎😎
Nikulipie?Nahitaji partner pleaseee....!!!
Nakajua ni Mkurya au Mmasai yule maana kwao bhita ni bhita tu, sime na visu nje nje na hapo kama wamekos binduki😀😀😀Achana nae huyuu!umeona nimemjibuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!ya kwetu ya msingi kuliko yakeee
Sasa shoga, ulitaka niwe penis!!! Tukufunge kibwebwe ukate maunoOtherwise atakuwa ni pussy tu.
That’s why I can’t wait to come to that party!