JF-get together party Disemba 2018

Tegemeeni kupata fake ID nyingine after decembre.mfano humu kuna wanao juana na wasio juana pia kuna wanaofahamiana na wasio fahamiana.swali langu ni je hawa wote watajuana na kufahamiana?nini maana ya ID fake?(soma juu).nini lengo lako halisi?!je isipo fanyika ama kwa sababu zilizopo ama zisizo kuwepo,kifuatacho nn?
 
hii party ni yako au wana jf? kwann wao wenyewe ndo wasingejipangia cha kufanya na pakukutana ila ushawapangia kitu cha kufanya na pa kwenda kama watoto wadgo
 
Jifunzeni jinsi mikutano ya HACKERS inavyoandaliwa na jinsi wanavyokutana.

Msihatarishe usalama wa watu kizembe namna hii.
Maxence Melo angalia hii kitu ni kukutwika yet another burden from safeguarding our anonymity.

Facebook users or tweeter users wameshawahi fanya kitu similar to this.

Lets enjoy JAMIIFORUMS platform.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…