Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sasa nguvu za kutufikisha wote unazo lakini?
Ila we ni kichaa
Nyie wake wenza wala hamna ugumu wowote!
Vijidakika viwili vitatu tu mshafika!
Easy work! Easy money!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nguvu za kutufikisha wote unazo lakini?
Ila we ni kichaa
kuondoka labda nipate mumeBado unaishi kwenu tu na umri huo ulionao!! Utachelewa kukomaa akili na kupata mume hebu hama ukajitegemee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] like ntakupiga mabao kama ya Messi vile?
Yaan hiyo party nimeipania kama harusi yangu vile[emoji23] [emoji23] nitahakikisha natokelezea mpaka hubby aone wivuuu!
Umependa huo mtumbo?Anaefanana na hio picha ya chini aniambie nimlipie.....
hahaha umenifrahisha na hizi comments zakoUnaona sasa.... Msitufanye hiyo siku tunywe pombe tuanze kuvua nguo
hahajahaaaaaaTunaruhusiwa kuja na wake zetu wawili wawili au watatu watatu au wanne wa nne ?
Usicheke nasubiri jibu.hahajahaaaaaa
hata sjui we nenda nao tu s wakezo banaUsicheke nasubiri jibu.
Hivi "serious" kwa kiswahili husemwaje ?
Maana nilitaka niweke mbadala wa "serious" hapo ili niipe uzito kauli yangu ila nimechemka,si unajua sisi waswahili kindaki ndaki.
Kujichetua vepeee[emoji57] [emoji57] [emoji57][emoji23][emoji23][emoji23]
Haahaa haaahaa....kuna watu huwa mna mawazo mbadala[emoji23] [emoji23] [emoji23]hii party ni yako au wana jf? kwann wao wenyewe ndo wasingejipangia cha kufanya na pakukutana ila ushawapangia kitu cha kufanya na pa kwenda kama watoto wadgo
Jomoni Elli utakuja?[emoji15]Aisee!
Nasubiri ya 35+ wangu!![emoji16][emoji16]Jomoni
@Elli79 utakuja?[emoji15]