JF-get together party Disemba 2018

Kwanini tusitafute ukumbi wa wazi ambao unachukuwa idadi kubwa ya wanachama?

Sent from my SM-P555 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri ni kwamba atetembeza picha bila kujua ni nani. Kuna siku kuna Uzi picha yangu iliwekwa humu bila aliepost kujua kama ni ya nani. Kaikuta alipoitoa akaipost huku. Sasa hayo ndo yatatokea after makutano
Trust me, kuna watu vyuma hawajawai kutokea tangu Uhuru. hawaji kulewa wala Ku get together wao ni kutaka kujua who is who. Yupo radhi kukiwa kumetulia au mziki umekata anaweza kushauti kwa nguvu ID ya mtu mfano akaita Mziguuuuuaaaaa halafu anaangalia reaction...(joking) lakini vyuma lazima viwepo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…