Vitu vipya. Unajua ulivyosema kwamba picha hiyo ina akisi mengi kuhusu wewe,ikanibidi nitulizane na kuitazama kwa jicho la mazingatio kuna vitu nimeviona,sasa ukinieleza wewe na mimi nikikwambia nilivyo viona bila shaka nitajifunza mengi.mhhh ujifunze nn sasa??