Jomoni karibuuHata karibu[emoji13]
Tanteee[emoji859]Jomoni karibuu
mwanamke stara ha ha ha na viatu vyeusi vya kutumbukiza sitaki ujinga mikonon gloves nyeusi msinikimbie tuSoksi jmn na niqab
Duuuh kama queen Elizabeth.. Utanoga tumwanamke stara ha ha ha na viatu vyeusi vya kutumbukiza sitaki ujinga mikonon gloves nyeusi msinikimbie tu
Nipo tayari unichune ngozi ukawambe ngomaAkha.
Ben 10 mnajua kuchuna tu
Eagle eyes[emoji23][emoji23][emoji23]Umedakwaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ha ha ha haaa mwneyewe vyanichekesha hapa, pamoja na dini yangu siwez kujistiri hukoDuuuh kama queen Elizabeth.. Utanoga tu
Msiwe kama mlivyo humu jf. Yaani nataka Madame S wa jf ndio awe yule yule wa kwenye party.ole wetu tena??? Kwa nn
me nina probability ya kuja so waweza nikuta huko au usinikute vilevile, ukinikosa location nyumbani kwetu napatikana utaniona utapata majibu yako.Msiwe kama mlivyo humu jf. Yaani nataka Madame S wa jf ndio awe yule yule wa kwenye party.
Sasa ole wenu !?
Hahahah tunaonaga tu kwenye tiivii jaman...ha ha ha haaa mwneyewe vyanichekesha hapa, pamoja na dini yangu siwez kujistiri huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Trust me, kuna watu vyuma hawajawai kutokea tangu Uhuru. hawaji kulewa wala Ku get together wao ni kutaka kujua who is who. Yupo radhi kukiwa kumetulia au mziki umekata anaweza kushauti kwa nguvu ID ya mtu mfano akaita Mziguuuuuaaaaa halafu anaangalia reaction...(joking) lakini vyuma lazima viwepo...
Subiri muda ufike...!me nina probability ya kuja so waweza nikuta huko au usinikute vilevile, ukinikosa location nyumbani kwetu napatikana utaniona utapata majibu yako.
hahaha me hua napishana nao mjini, najiuliza na jua hili sjui anajisikiaje kulivaa baibui tu na jua najifikiriaHahahah tunaonaga tu kwenye tiivii jaman...
oh we hayaSubiri muda ufike...!
Wewe si ndio huyo wa kwenye avatar namuona hapo ?oh we haya
hapana ni picha tu inaakisi mambo mengi kunihusu.Wewe si ndio huyo wa kwenye avatar namuona hapo ?
Nitakutafuta uniambie,naweza nikajifunza kitu.hapana ni picha tu inaakisi mambo mengi kunihusu.
mhhh ujifunze nn sasa??Nitakutafuta uniambie,naweza nikajifunza kitu.
Humu naona wanga wengi.