nashukuru kwa sifa hizi nazipokeankwa mikono miwili na moyo mkunjufuKuwa na amani madam, huu ni wakati wa uwazi na ukweli....ukiwa fisadi tunakutumbua lakini ukiwa mtu mwema tunaku-promote to higher rank
Lakini kiswahili kinamaficho mengi mkuu, unaifahamu "kanguvuke" wewe?Wazungu hao kiswahili hawajui ngoja nikae kimya
Ha ha haaa ushasema maficho langu sio ficho.Lakini kiswahili kinamaficho mengi mkuu, unaifahamu "kanguvuke" wewe?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3]Ha ha haaa ushasema maficho langu sio ficho.
Kama atakujibu nistue.
Unaungua kama kumbikumbi juani[emoji23][emoji23]hahaha me hua napishana nao mjini, najiuliza na jua hili sjui anajisikiaje kulivaa baibui tu na jua najifikiria
me namuona tu tangu jana na huu usifiaji si wa kawaida messages zaidi ya tano mtu anasifia tu ππ@Archduke huyu anasifia sana
umenielewaje??hahaa nakuelewa lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah,nilijua tu humu sio sehemu salama...! Ndio maana nikawa naomba tubadiloshe venue.
Kaka shukrani kwa kufatilia maongezi yetu....!
mhhh nini?? me nakuangalia tumhhh
Too childish[emoji706][emoji465][emoji959]Kwa swali hilo lazima mgeni
kunjua tu moyo tu mamanashukuru kwa sifa hizi nazipokeankwa mikono miwili na moyo mkunjufu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@Archduke huyu anasifia sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwalo ndo nini?
At your own risk[emoji15][emoji15]me namuona tu tangu jana na huu usifiaji si wa kawaida messages zaidi ya tano mtu anasifia tu ππ
Ndio maana huwa sipendi mahusiano yangu yafahamike mitandaoni. Bro naona unatetea maslahi yako.mhhh nini?? me nakuangalia tu
Bro jikaze tu hamna namna !kunjua tu moyo tu mama
πFYI Party INA baraka zote za Max na Team Ya Jamii Forum. Pia hii sio ya kwanza.
Anasifia sana imebidi nimshtue shemeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani vibaya
nawasifu sana kwa kweli kama stara ndio kupata pepo wale jannat firdaus ni yaoUnaungua kama kumbikumbi juani[emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]me namuona tu tangu jana na huu usifiaji si wa kawaida messages zaidi ya tano mtu anasifia tu ππ