Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Ha ha haa jamaa kanyooshaNi kweli kabisa mkuu
Tumezoea kukipinda kiswahili mimi nime copy maana ya swiming pool
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haa jamaa kanyooshaNi kweli kabisa mkuu
Nabebishana nao kibao humu, ila sina wa kumuita 'honey'...teh teh!!Ule mnaobebishana humu[emoji23] [emoji23]
Nigawie mmoja mkuu ili niunganikeNabebishana nao kibao humu, ila sina wa kumuita 'honey'...teh teh!!
.At your own risk[emoji15][emoji15]
hahahahaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kumbe ni mkeo mkuu, basi sirudii tena, bahari mbaya kusifia kizuri ni desturi yangu
😎Bro jikaze tu hamna namna !
Nilishangaa kumbe swimming pool nalo laitwa bwalo LA kuogeleaBwalo=Hall=Ukumbi
Pool=Bwawa
Sio bwalo la kuogelea ni bwawa la kuogelea.
that's my womanhamna kwenda
always baethat's my woman
Hahaha, sina mkuu. Nipo nipo tu, inabidi nikaoge maji ya chumvi hata Kunduchi tu ili niwe na bahati na hawa wachuchu, naona wananikimbia balaa.Ha ha haa yule hukuniachia kwa roho safi mana aliyeyuka tu mpaka leo naona nyayo zake tu Man u ikishinda
Kunjua roho unipe mwingine sasa
Hata yulee[emoji23] [emoji23]Hahaha, sina mkuu. Nipo nipo tu, inabidi nikaoge maji ya chumvi hata Kunduchi tu ili niwe na bahati na hawa wachuchu, naona wananikimbia balaa.
uwe na amani ndugu yangu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kumbe ni mkeo mkuu, basi sirudii tena, bahari mbaya kusifia kizuri ni desturi yangu
Hii si ya kukosa
Hivi dakika 20 bado eeeeeHata yulee[emoji23] [emoji23]
Nimeipenda hii Hajar naomba uniazime kwa matumizi ya baadae"Msambaa mmoja havunji soko
Ntajikokota mwenyewe naamini kuna watakao kimbiana tu ntakwepi kwa ajili yao.Hahaha, sina mkuu. Nipo nipo tu, inabidi nikaoge maji ya chumvi hata Kunduchi tu ili niwe na bahati na hawa wachuchu, naona wananikimbia balaa.