Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahhahaha.Ntajikokota mwenyewe naamini kuna watakao kimbiana tu ntakwepi kwa ajili yao.
Tanteee, sasa Wasambaa wakiniletea za kuleta nawapiga na kamsemo ka kihenga hako kwanza😀😀😀😂😂 nishakuazima wewe tu Seten.
😂😂😂 sawa Sesten.Tanteee, sasa Wasambaa wakiniletea za kuleta nawapiga na kamsemo ka kihenga hako kwanza😀😀😀
Si wajua tena Wasambaa kama walivo Wasukuma ni watani wa watu wengi😂😂😂 sawa Sesten.
Usinicheke nilichukia mana nilienda saa tano kasolo nikashangaa watu wesha tawanyika nilichokaaHahahahhahaha.
Hahahaha halafu wewe SAA tano ndiyo pamekucha. NakumbukaUsinicheke nilichukia mana nilienda saa tano kasolo nikashangaa watu wesha tawanyika nilichokaa
Hii nayo imesemwa hadi usiku sana isjeishia saa tano tu
MmhhHahahaha halafu wewe SAA tano ndiyo pamekucha. Nakumbuka
Hahahaaa. Njoo tu best.
Huwa kuna maneno yanatumika sana hasa kule nyumbani kwetu Tanga kwamba "Msambaa mmoja havunji soko" hivyo uje tu bana sababu Party itakuwepo na kama ulivyoona watu kibao watawakilisha.
Tanteee, sasa Wasambaa wakiniletea za kuleta nawapiga na kamsemo ka kihenga hako kwanza😀😀😀
Yupiii?Hata yulee[emoji23] [emoji23]
Shunie kumbe na weye pia ni waja leo warudi leo?😀😀😀😀Kwa niaba ya wasambaa tunaomba msamaha
Hakyanani we shunie! [emoji16][emoji16]
Mbona unagunaa?Mmhh
Hahaha, unasubiri 'loose balls'!!Ntajikokota mwenyewe naamini kuna watakao kimbiana tu ntakwepi kwa ajili yao.