Ooh. Ila hii sherehe inafanya nione Me walivyo na roho za kipekee jamaani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dada kuna mfadhili amejitolea kunigharamia kila kitu cha siku hiyo ndio namsubiri siku ifike @fakalava
Wakujibu hili swali wengine sehem kama hizi tunaingia usiku mwingiJe kuna usafiri au tutakesha?
Eti sie wasambaa wa mjiniDada Umewasahau Madame B , beingsingle
Zinanoga sana mana kufunga ni rahisi sanaHahaha, unasubiri 'loose balls'!!
Tatizo hujibu wasap.Njoo wasap nikulipie.
Afu mkibadilisha username muwe mnasema.
Unataka tutongozane mara ya pili?
Brother naomba hiyo nafasiNimelipia JF party ila nimegundua tarehe hio nitakuwa vacation London kwahio anaehitaji naweza kumpa hio nafasi ahudhurie badala yangu.
Hehee sasa ivi nishakua ninavindevuu. Utainjoi zaidi kipindi hikiUje.
Maana nimekumiss ben wangu
Yaani huko wasap nimenunuliwa kila kitu.Ooh. Ila hii sherehe inafanya nione Me walivyo na roho za kipekee jamaani.
πππππ
Hii nafasi kama ni pamoja na pertner nipo tayari kumuwekea ulinzi stahikiNimelipia JF party ila nimegundua tarehe hio nitakuwa vacation London kwahio anaehitaji naweza kumpa hio nafasi ahudhurie badala yangu.
Ohio sikusoma vizuriAnataka mwanamke
We unachukua tu pesa ya mwanaume mwenzako.
Kuna Kufa na Kuolewa
Hivi hii usiku sana mmelenga hasa saa ngapi?Thanks.
Haya njoo