Ok hii ni nzuri zaidi. Sawa kiingilio changu kitumike kama support yangu kwenye hii party.Tunaweza ongezea tu katika bajeti yetu.
Asante
Wapo wamebadilo nguo tu waangalie vizuri utawaona.Wanao niamini siwaoni kitambo. waliopo ni wa swaga na mimi sijui ku act
Ok hii ni nzuri zaidi. Sawa kiingilio changu kitumike kama support yangu kwenye hii party.
Nasafiri kweli. Btw kwanini unasema ikifanyika na kuisha salama utashangaa? Whats going on?Naona wewe ni mtu wa pili kuchomoa.
Utakuwa safarini kweli au?
Ila hii party hii....ikifanyika kweli na ikiisha salama bila mtu kuumia nitashangaa sana.
Hopefully waliosema wataenda ni wataenda kweli.
I’ll be there 100%.
Nasafiri kweli. Btw kwanini unasema ikifanyika na kuisha salama utashangaa? Whats going on?
So its u we should worry about not the party?Well, the disrespect from some pussies here is too much to ignore.
It’s time to take it to the streets and that party will be the perfect venue.
That’s all I gotta say.
So its u we should worry about not the party?
Pamoja.Waoooo.
Asante sana mkuu.
Twashukuru sana
Ok thats a relief..Oh no.
Don’t worry about me. Not at all.
Y’all do what you do and I’ll do what I’ll do.
I’m praying hard that it [the party] happens so I can show up in the flesh.
Nyani Ngabu kwanini lakini umekazana kutoitakia mema hii party?Naona wewe ni mtu wa pili kuchomoa.
Utakuwa safarini kweli au?
Ila hii party hii....ikifanyika kweli na ikiisha salama bila mtu kuumia nitashangaa sana.
Hopefully waliosema wataenda ni wataenda kweli.
I’ll be there 100%.
Nyani Ngabu kwanini lakini umekazana kutoitakia mema hii party?
Wewe sio mgeni humu Jf na party zote 3 zilizopita ulizisikia na wala hakuna vita au kitu kibaya kilichotokea.
Haya maneno yako unayoleta ya sijui nani kafanya nini, sijui ikiisha salama bila mtu kupigana utashangaa,
Why ugomvi na huyo mtu mmoja ukazane kutoa kasoro party yote.
Sisi tumekubali kubeba lawama, itokee vita, vurugu, fumanizi, magombano sijui mabomu....bii mizigo yooote tutaibeba sisi ila suala la kusema sijui kutatokea nini na nini naomba uachane nazo.
Baraka za kufanya Party tumepewa na Jamii media chini yake kaka Maxence Melo na dada AshaDii.
Samahani, tunaomba tufanye party salama na tumalize salama.
Changamoto zipo kwa kila jambo si hapa tu mpaka katika maisha yetu halisi
Nakubali kubeba lawama.
Ila naomba punguza vitisho ambavyo havina tija katika kuelekea kuadhimisha hii party.
Asante.
RRONDO sikia mkuu.Nasafiri kweli. Btw kwanini unasema ikifanyika na kuisha salama utashangaa? Whats going on?
Kama unataka fulani na fulani waje, walipie halafu waje kukupa updates za kilichojiri.Haya.
Si kwamba siitakii mema. Nataka sana ifanyike na nataka fulani na fulani waje.
Nami nitakuja na baadhi ya watu wakiwepo it’s on. Bombs away.
Adios.
Nilipie basi namie msukuma weweNaona wewe ni mtu wa pili kuchomoa.
Utakuwa safarini kweli au?
Ila hii party hii....ikifanyika kweli na ikiisha salama bila mtu kuumia nitashangaa sana.
Hopefully waliosema wataenda ni wataenda kweli.
I’ll be there 100%.
Nilipie basi namie msukuma wewe
Madame achana na ngabu hujamjuaga kua ana kichaa chake huyu msukuma?Nyani Ngabu kwanini lakini umekazana kutoitakia mema hii party?
Wewe sio mgeni humu Jf na party zote 3 zilizopita ulizisikia na wala hakuna vita au kitu kibaya kilichotokea.
Haya maneno yako unayoleta ya sijui nani kafanya nini, sijui ikiisha salama bila mtu kupigana utashangaa,
Why ugomvi na huyo mtu mmoja ukazane kutoa kasoro party yote.
Sisi tumekubali kubeba lawama, itokee vita, vurugu, fumanizi, magombano sijui mabomu....bii mizigo yooote tutaibeba sisi ila suala la kusema sijui kutatokea nini na nini naomba uachane nazo.
Baraka za kufanya Party tumepewa na Jamii media chini yake kaka Maxence Melo na dada AshaDii.
Samahani, tunaomba tufanye party salama na tumalize salama.
Changamoto zipo kwa kila jambo si hapa tu mpaka katika maisha yetu halisi
Tunakubali kubeba lawama.
Ila naomba punguza vitisho ambavyo havina tija katika kuelekea kuadhimisha hii party.
Asante.