Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
- Thread starter
- #1,601
Mbona unajimaliza bro.Sawa. Nilichokwambia ni kuondoa jina langu pale juu(though nilikwambia uliweke kwania nzuri tu.
Ila haina uhusiano na kutokuja kwangu.
Ulishaeleweka tangu kule.
Na ukasema pesa yako itumike kuboresha party pia ukaeleweka.
Tatizo nini kijana?
Be free....usifanye maisha yawe so complicated.
Ok...umeeleweka.
Siku njema.