Mbona unajimaliza bro.Sawa. Nilichokwambia ni kuondoa jina langu pale juu(though nilikwambia uliweke kwania nzuri tu.
Ila haina uhusiano na kutokuja kwangu.
Najimaliza,labda sielewi kiswahili unachotumia. Kuna mtu alikushauri kama Host jiepushe na vitu fulani,alitoa ushauri mzuri. Dont pre-empt.Mbona unajimaliza bro.
Ulishaeleweka tangu kule.
Na ukasema pesa yako itumike kuboresha party pia ukaeleweka.
Tatizo nini kijana?
Be free....usifanye maisha yawe so complicated.
Ok...umeeleweka.
Siku njema.
Mkubwa jalala.Najimaliza,labda sielewi kiswahili unachotumia. Kuna mtu alikushauri kama Host jiepushe na vitu fulani,alitoa ushauri mzuri. Dont pre-empt.
unaenda kuzimua?Ngoja nikuendee hewani mwaya.
Ila niko mitaa ya Mk naelekea PapiChullo
Hii sio party ya ngono tafadhali
Ila karibu saa
Hata kama ili mradi nikuoneUkimuona jimama lina tumbo kubwa kuliko wahudhuriaji wote ujue ndo mimi
Ngoma ya kizigua sieka yantuliza mawazo.