JF-get together party Disemba 2018

Kuna wengine vipara vinawatoa damshi.
ila sio kwa hiki kichwa changu....naona mtacheka ukumbu mzima.
Haya mawigi haya....yanatusitiri wengi jamani.
Asante mzungu
Hahahaaa wengine sura za baba tukinyoa upara tunafanana na wazee wa kichina wale wanaonyoa upara.
Ila wewe mcute utapendezaa
 
Hahahaaa wengine sura za baba tukinyoa upara tunafanana na wazee wa kichina wale wanaonyoa upara.
Ila wewe mcute utapendezaa
Eti nitapendeza.
Kuna siku wigi lilinivuka kwenye kugombania kuingia kwenye treni Kipawa.
Nimefika ndani naona kichwa kinapigwa na upepo...kucheki wigi halipo.
Bahati mtu aliniokotea.
Maana na hii sura ya baba sijui ningeendaje ninakoenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…