JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Naona wafitini mnaanza kupangua na kupanga vichwani mwenu.
Party natamani ifike.
Wale wanaoiombea mabaya wadhalilike.
Na wale jukwaani mikwara kumbe moyoni wanaogopa naomba waumbuke pia.

MUNGU TUSAIDIE JAMANI
DUNIA INA MENGI....YA NDANI NA YA NJE.
MEMBERS KARIBUNI SANA.
TUNAWAPENDA SANA.
By waandaaji;
Mzigua90 & Madame B featuring Jamii Media.
Thanks.
Mbona uhakika Madame.. worry out
 
Hivi huu ni mkosi ama? Maana hadi sasa hivi sijapata mtu wa kudamshi naye siku hiyo... Akina dada wa humu nipo tayari kukulipia kiingilia pamoja na mavazi kuanzia juu hadi chini... Jitokezeni basi maana naona
witnessj katoka nduki
 
Back
Top Bottom