Aiseee... Umenikumbusha mbali, Enzi za Escape One, watu tulikwea pipa toka mikoani tulaja kula bata...
Chezeiya JF party, achana na vijana wajuzi hawajui utamu wa party..
Wapi Vin Diesel , Elizabeth Dominic, mwekundu , Nicas Mtei , Ruttashobolwa , Slave, Mwita Maranya , Madame B , lara 1 na wengineo
Hivi na wewe ni wa kule "Mapenzi yalipoanzia"?Sijambo sana sesten.
Hivi na wewe ni wa kule "Mapenzi yalipoanzia"?
Kule waja leo kuondoka ni majaaliwa?
Kule kwenye kibao kilichoandikwa "Karibu mkoa wa........." lakini hkuna kibao cha "Kwaheri"?
Tate naneeee, nzeze?Ndio.
Tate naneeee, nzeze?
hunizidi mimiBaby nimekumiss.
hunizidi mimi
ila niambie nani yupo nyuma ya haya yote ?
Mbona uhakika Madame.. worry outNaona wafitini mnaanza kupangua na kupanga vichwani mwenu.
Party natamani ifike.
Wale wanaoiombea mabaya wadhalilike.
Na wale jukwaani mikwara kumbe moyoni wanaogopa naomba waumbuke pia.
MUNGU TUSAIDIE JAMANI
DUNIA INA MENGI....YA NDANI NA YA NJE.
MEMBERS KARIBUNI SANA.
TUNAWAPENDA SANA.
By waandaaji;
Mzigua90 & Madame B featuring Jamii Media.
Thanks.