JF-get together party Disemba 2018

Live band: Tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha.
Dereva wa mkuu wa mkoa atakuwepo!
Madame B kumbatio la chumvini je?
Mzee mwenzangu hii ndo fursa ya kujipatia vimchepuko. Mi niko bize nahaha kutafuta jeans lililochanika gotini.Haya masuruwale ya vitambaa na mashati mekundu na njano tunaweza kutoka bilabila wallah
 
Haswaa, niko bize na vinyimbo vyao vya yo yo yo naangalia uvaaji wa vijana wanaoimba hizo nyimbo zao ili angalau nipate pa kuanzia. Nadhani nitavaa na miwani mikubwa ile myeusi. Bado sijaamua kuhusu viatu. Tuko pamoja mzee mwenzangu.

Hapo kwenye viatu itabidi tukae kama kamati. Hizi mokasini zetu zimekaa kama mkuki moyoni tunaweza kuchekesha wasiocheka
 
nawaonea hadi donge kwa watakao hudhuria duuh mtaenjoy sana
mimi nawaombea tu party iwe yenye amani tele
ila msisahau kutupa mrejesho wa party baada ya kuisha
Aswaa pamoja na picha zoote
 
Mzee mwenzangu hii ndo fursa ya kujipatia vimchepuko. Mi niko bize nahaha kutafuta jeans lililochanika gotini.Haya masuruwale ya vitambaa na mashati mekundu na njano tunaweza kutoka bilabila wallah

😂😂😂😂umenikumbusha iringa😂😂men haoni shida kvaa hizi colors..alafu trauza panaa
 
Siku zinakimbia 15/12 si Weeknd ya keshokutwa tu?
 
Mie kama unavyonijua....sina siri.
Yote nayamwaga hadharani
Ndo maana mzee Mtambuzi kanambia "mzee mwenzangu hiki sio kikombe chetu". Ngoja nikae pembeni utanisimulia shem... afu njoo inbox basi unipe no za laaziz wangu. Nshanunua bastola niko vizuri
 
Hivi unajua mmewe anasoma kila kitu hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…