JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

[emoji121]
KIWANGO CHA MCHANGO KIKIPUNGUA KUFIKIA BUKU_5,
NIJUZENI FASTA NITUME MCHANGO SASA HIVI!!!
 
kumbe Madame B unaitwa Hawa Hasani nimetuma kwa wakala nisome mimi sina hofu na mtu.
 
Hahaha wazeee wa nyegezi. Nyinyi wasafi festival inawatosha.

Longtime saana ndugu. How are u
Hahahaaaaa..... Hata mie naona, tusubiri wazee wa Nyegezi tu maana hatuna namna.

Niko poa, vipi mkuu siku nyingi hatuwasiliani. Uzima upo!?
 
nawaonea hadi donge kwa watakao hudhuria duuh mtaenjoy sana
mimi nawaombea tu party iwe yenye amani tele
ila msisahau kutupa mrejesho wa party baada ya kuisha
 
Back
Top Bottom