Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] shemeji wa zaman baada ya kupata shemeji mpya ntapata pa kufikia kweli ...?Mkaribie mjini tu shemeji wa zamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] shemeji wa zaman baada ya kupata shemeji mpya ntapata pa kufikia kweli ...?Mkaribie mjini tu shemeji wa zamani
Ni kweli maana tukitambuana kiJF ndo yalee ya kuja kuanzishiana nyuzi
Hahahahahahaha ...wa kike wa kiumeNjoo utalala chumbani na mwanangu
Sawa nitalipia kupitia wakala then nitakujulisha.Hiyo nayo ipo.
Nikihakikisha kweli imeingia na jina la wakala limetokea.
Unaingizwa tu....lol!!!
Unajua hii thread huwa tunai-edit kila mara.
Ni muhimu kurudi kuisoma ili uone kilichoongezeka
Umeshatuma hela??Nimeona dear mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
Mimi hapa natafuta wa kucheza nae blues.Kama kuna Manzi anatafuta partner wa kuibuka nae kwenye hiyo Party, nistue tafadhali! Mlugaluga hapa, nipo nipo tu! [emoji1][emoji1]
InatoshaMimi nataka kutuma kupitia wakala,msg siwezi kuwa nayo, nikikutajia jina la wakala haitoshi kuthibitisha?
Huwezi kukosa shemeji[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] shemeji wa zaman baada ya kupata shemeji mpya ntapata pa kufikia kweli ...?
Hahaaaaa wewe si mtu mzuri[emoji28] [emoji28] [emoji28]Utalala ukumbini.
Asubuhi tutakuwahisha Tegeta Nyuki
Unaogopa umewakosea kitu gani hao wasiojulikana? Na watakujuaje kama wewe ndo cmoney?eh eh katika watu 60 waweza kuta nusu yao ni watu wasiojulikana😵😵😵🙄🙄😱
Hapo karibu hivyoHuku Bwagamoyo nitafika asubuhi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yego magamboki ?Kama kuna Manzi anatafuta partner wa kuibuka nae kwenye hiyo Party, nistue tafadhali! Mlugaluga hapa, nipo nipo tu! [emoji1][emoji1]
Sio MTU nzuri kabisaHahaaaaa wewe si mtu mzuri[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Utalala ukumbini.
Asubuhi tutakuwahisha Tegeta Nyuki