Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima tuende sawaaYaan we na cute b mnanichekesha sana mnataka soda za 20000 Mzigua90 kazi ipoo[emoji23][emoji23]
Mkuu usipate shida tunajuana humu sana! Party ni mwendelezo tu...so hakuna wa kutapeli hapa!Dont say I didnt warn you. Unamkabidhi vipi pesa mtu ambaye hujawahi muona na kwenye mitandao anatumia ID fake? Bora hata angekuwa mwanaume. Hawa wanawake tunaokutana nao bara barani, unamtumia elfu kumi na tano ya nauli aje kwenye tukio anakutapeli, hela harudishi na anatoa udhuru kibao, then hao hao leo ndio unakabidi 2,100,000 cash mkononi? Unategemea muujiza gani hapo zaidi ya kuwa dissapointed?
Hahahahhahaha kama vile tutakavyivimbiwa.Ntawawekea kreti lao na sharti hamna kubeba
Lazima tuende sawaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂weweeHahaaa. Kabisaaaa. 😜😜😜
Umeweza sasa mdogo wangu. 👏👏👏👏👏
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha kabisa hii inaitwa funika kombe dada usijali kujulikana tutajulikana tu kwa hizo dress@hajar
Mambo ya dar jotooYooooh kwa mema lakin[emoji23]
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Mambo ya dar jotoo
Mwendo wa kugawa makopa kopa tu[emoji3]Ana like tuu [emoji16][emoji16]
Nafikiria kuandaa pati ndogo kabla pati kubwa haijafika ili tuweze kupata uzoefu wa japo kuweka mapozi mazuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa. Kabisaaaa. [emoji12][emoji12][emoji12]
Umeweza sasa mdogo wangu. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]