JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Humkumbuki huyo Sesten?

Juzi aliniparamia sehemu hadi nikabaki mdomo wazi. Itakuwa ndi raha yake hiyo.
Kuuumbe! Sikua nimemkariri aisee

Uzuri ni kwamba tatizo ukishalijua halikusumbui tena

Furahia maisha kwa mapana Hajar hakuna anaemlisha wala kumvisha mtu humu

Kila mtu na mipango, njia na maisha yake
 
Back
Top Bottom