Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Nice IDEA
Ila lazima tuje na NISSAN patrol white.
Maana kuna Member nawatafuta humu..[emoji16] [emoji16]
Na wewe muandaaji gani husomi PM? Nimekutumia PM asubuhi mpaka sasa hivi kimya.Itakua kaenda kuchetua SAA hizi akirudi ataconfirm my dear.
Una miezi mitatu ya kuschedule best.. Time will be compensated[emoji1]Hahahaaaaa. Tatizo sio nauli bana best tatizo ni chance na muda nitakaotumia kuja mpaka kurudi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si lazima wote muende,acha wanaoweza kwenda waende.30000 Tz shlng..........afu kuna watu wanasapotiii apa .....maisha yao magumu kichiz anavyo typ...tuu unajuaa tu uyu hali mbaya ..usiige watu ..bora iyo 30000 uanze biashara au upikee msos wakutosha ule ushilikishe mashikaji wa mtaa kwenuu.....wanaoleta mambo haya wengine wanafanya kazi mwisho wa mwezii ...anaingiza pesa 30 kwake inakuwa ndogo... ...FiKiRiA kwaNza mkitapeliwa mnaanza kuloganaa ..shaur zenu
Naomba nitumie tena my dear. Tatizo muandaaji ana kimeo sometimes kinazinguaNa wewe muandaaji gani husomi PM? Nimekutumia PM asubuhi mpaka sasa hivi kimya.
Nikutumie nini?Naomba nitumie tena my dear. Tatizo muandaaji ana kimeo sometimes kinazingua
Ooh. Wacha nicheze nayo hiyo miezi nione itakaaje best. 😂😂😂Una miezi mitatu ya kuschedule best.. Time will be compensated[emoji1]
Anataka kuchafua hali ya hewa tu huyo
🙏🙏 Ahsante kwa ukumbushoMuda wa msikitini huu guyz kwa wale waislamu twendeni tukasali jamani tumkumbuke na Mungu maana bila yeye tunaweza tusifike Desemba hiyo
your beauty captures me, jamiiforum sikuwahi kudhani wala KUHISI ina watoto wadogo namna yako.Mungu wangu!
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Sijaipania best, nimekupania[emoji13]Ooh. Wacha nicheze nayo hiyo miezi nione itakaaje best. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila yaonekana umeipania eee?
Acha tu nkatamani ungewepo unisaidie kumsuuza nafsi. 😂😂😂Amaaaaaa!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ugonjwa wangu huo
Yes huyo huyo mwenye BIG BOOBS!
Utapigwa wewe mi sikugombelezei ujueSi lazima wote muende,acha wanaoweza kwenda waende.
Huna hela kaa nyumban
[emoji23][emoji23][emoji23]Si lazima wote muende,acha wanaoweza kwenda waende.
Huna hela kaa nyumban
Mapaka paka mwenyewe[emoji15]Siitwi hivyo we nyau
Kwa hiki ulichoandika nahitimisha kwa lile neno lako pendwa kabisa. 😂😂😂Kuuumbe! Sikua nimemkariri aisee
Uzuri ni kwamba tatizo ukishalijua halikusumbui tena
Furahia maisha kwa mapana Hajar hakuna anaemlisha wala kumvisha mtu humu
Kila mtu na mipango, njia na maisha yake