Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nichukue namba ipiThanks.
Haya njoo
Napenda kufumbua ili nione ukiiwa kwenye night dressSiku ingine ufumbue macho uone vizuri
Sim nilipoteza mumySiku ile si nilikutumia picha yangu?
Uliifuta?
Afazari kidogo ila iwe 7 au 8 wengine hatunywi ila tunapenda mno tena mnoo vituko vya waliokunywa asa mda uliosema pombe itakua bado haija washuka vizuri wahisikaSaa 6 au 7.
Unajua pale jirani kuna buzuki la Dj JDilinga wa pale The Legend.
Tukitoka pale mapopo tunahamia mtaa wa pili mpaka kuchweeeee......
Kwahiyo kama hunywi starehe yako nini sasa?Afazari kidogo ila iwe 7 au 8 wengine hatunywi ila tunapenda mno tena mnoo vituko vya waliokunywa asa mda uliosema pombe itakua bado haija washuka vizuri wahisika
Aisee nasalimie ukouko alikoYupo KT uko huku utamuona mwezi wa kumi
Kwamba nikulipie wewe na partner wako au?Hii nafasi kama ni pamoja na pertner nipo tayari kumuwekea ulinzi stahiki
Ha ha haaa starehe zipo nyingi utaona tu hisyo siku ikifika salamaKwahiyo kama hunywi starehe yako nini sasa?
Vituko vya walevi au?
Hapana umesema hutokwepo naamini partner wako atakwepo huyo ndo nnae mhitaji katika hiyo nafasi yakoKwamba nikulipie wewe na partner wako au?
Mimi nisiwepo ila partner wangu awepo? Partner wangu hata hajui kama JF ina-exist.Hapana umesema hutokwepo naamini partner wako atakwepo huyo ndo nnae mhitaji katika hiyo nafasi yako
Sawa ntakaribia ule muda wa lala salama atatumika mtu ntahudhuria mwenyeweKaribu sana mkuu
Aaaa nikajua umedaka wa humu kwa one nighte.Mimi nisiwepo ila partner wangu awepo? Partner wangu hata hajui kama JF ina-exist.
Wa humu nawaachia nyinyi mkuu...Aaaa nikajua umedaka wa humu kwa one nighte.
Basi iende kwa mwengine ngoja niendelee kusubiri loose ball
Wanao niamini siwaoni kitambo. waliopo ni wa swaga na mimi sijui ku actWa humu nawaachia nyinyi mkuu...