JF Get Together Party kufanyika Kebby’s Hotel Jumamosi 25 Januari 2014, michango imeanza kupokelewa…

JF Get Together Party kufanyika Kebby’s Hotel Jumamosi 25 Januari 2014, michango imeanza kupokelewa…

Duh.. Huu uzi nilikuwa sijauona aisee, ngoja nifwanye booking ya fasitijet mapemaaa maana naweza kupata kwa bei ya chini ya laki moja aisee!!

Mamie lara 1, mwaka hana vazi lilikuwa white je mwakani tutokelezee na vazi gani??? Wapi mamaa Madame B a.k.a my x-wifi????

C.C. Mzee Mtambuzi.....

Kwa nini kila mwaka mnafanyia Dar kwanini msije morogoro....mijitu ya Dar mnajidai sana nilikuwa na mpango wa kuhudhuria ila mumeboa........
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom