Ukuje bhana.
Na nani sasa...!???
nitajitahidi....Ukuje bhana.
Ninyi minaniliu ya dar ina maana hamhoni hii comment???
Asprin, Mtambuzi, Jiwe Linaloishi, lara 1, watu8, Heaven on Earth, jouneGwalu, Kipaji Halisi, cacico, Vin Diesel na wooote woteee.....
Kwa nini kila mwaka mnafanyia Dar kwanini msije morogoro....mijitu ya Dar mnajidai sana nilikuwa na mpango wa kuhudhuria ila mumeboa........
Huyo mkongomani achana nae, nitakuwepo mimi..
Kuna dalili zote tukarudi kuleeee kwa zamani.....kazana mama:frusty:
Ina maana huijui.... au unataka tu usikie sauti yangu.
ile historia haitakiwi Kujirudia "Vin"
ndio nilichokuwa nakitaka,sauti yako mi..............
Jitihada zako zaelekea kuturudisha kule....
Dont say that.....sitaki turudi kule kabisaaaaa
unasemajeee?
Usijali mpenzi...mbele daima,nyuma mwiko...
its not what your thinking...........
What is it then....