JF Get Together Party kufanyika Kebby’s Hotel Jumamosi 25 Januari 2014, michango imeanza kupokelewa…

JF Get Together Party kufanyika Kebby’s Hotel Jumamosi 25 Januari 2014, michango imeanza kupokelewa…

tarehe ya mwisho ya kupokea michango, na idadi ya mwisho ya washiriki ni ngapi? asante sana lazima nije na john mtembezi wng ila ulinzi muhimu ss wengine kudondosha gali ndio zetu
 
Hii imetulia sana! Nahisi kuwepo. Ngoja nimPM Mtambuzi anieleze akipokea mchango wangu kwa Mpesa atajuaje ni mimi manake Mpesa itaonyesha jina tofauti na hii ID ya JF!
 
Back
Top Bottom