JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

Imekaa sawa mpaka hapo....

Mengine nasubiri mawasiliano ya wadau, japo nafasi yangu unaijua ilivyo ya kimagumashi sana japo sipendi kuangusha watu.
Otherwise tupo pamoja.

mi nakuangalia tu hapa unavyotoa maelezo wakti hujaaga !ehehehehe sasa ndo uone UTAKAVYOWAANGUSHA SASA!
 
Dah, uzi nilikua sijauona huu, nitakuja kutoa maoni yangu,
 
Wazo la kwanza; kamati ya maandalizi inaundwa na 25% ya waalikwa..........
 
natoka bujumbura faster kuelekea dar , nipate na mimi mwaliko
 
hizo tarehe 3 na 4 wengi wanakuwa bado wako likizo wanamalizia sherehe na familia zao ... wengine wako mikoani n.k....

sitaki kuuliza kama umesoma shule ya msingi kwiro.....au ukwama....umenikumbusha mbali sana
 
Nimefuatilia uzi huu mwanzo mwisho sijaona conclusion kuhusu mchango uliopitishwa ni kiasi gani na ukumbi gani umekubaliwa, au miwani yangu imenificha nisione sijui! Mwenye hizo info naomba tafadhali
 
Nimefuatilia uzi huu mwanzo mwisho sijaona conclusion kuhusu mchango uliopitishwa ni kiasi gani na ukumbi gani umekubaliwa, au miwani yangu imenificha nisione sijui! Mwenye hizo info naomba tafadhali

aisee sijui party hii imeishia wapi Mtambuzi ukuje huku utupe majibu

too bad lara one nae kapewa ban
 
Last edited by a moderator:
ulipotelea wapi bestito jamani haya michango ishatangazwa na siye ni wanakamati hivyo mchango ni sh 30,000/= @ single kama ni double una+ hapo na ukumbi tulipata ule wa kebby lakini kama na wewe unawexza tafuta ukumbi mzuri na ambao utatupa go ahead kwa matanuzi yetu binafsi waweza kutuambia uwanja ni wako
Dooh! Yanekuwa haya tena?! Lakini ngoja tusubiriye labuda waandazi bado wanasherekeya muaka mupya watatuwelezeya wachimaliza
 

Aksante shositi mboni mimi ntachangia singo tu manake dabo naikuta humo humo kweni pati ndani. Nielekeze muchango nimpe nani? Na kuhusu ukumbi huohuo unafaa tu ila nyomi ya mwaka huu ni zaidi ya mwaka hule, fikiria kupewa ukumbi wa pembeni au hule wa juu. Ni ushauri tu mkulu
 
hapo kwenye huo uzi kuna namba ya kutuma hizo hela mtumie Mtambuzi kwa hizo no hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi miye naomba kujuzwa hiyo party ni ya JF member wa siku nyingi mnaofahamiana au hata kwa siye wageni?
 
Mkuu mbona hii hamjaiendeleza mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…