JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

Mmmmh siyo hivyo hapa tuko cool sana tukiwaita hao baba zako patakuwa hapatoshi hapa.

Sasa unataka waitwe mara ngapi?! ebu fuatilia vizuri uone mpaka wengine washetishiana ku ufoosaliana wengine kuja na vitu vyenye ncha kale alimradi tafrani tupu. Miye ntakaa kwa pembe kuepusha msongamano
 
Kumbe tutaona siku ikifika.
 
Naunga mkono hoja..
Naomba nipewe nafasi ya kuja na kikundi changu cha MSEWE kutumbuiza siku ya Ghafla hiyo, huo ndio utakuwa mchango wangu.

Copy to- charminglady, Zion Daughter, Elizabeth Dominic, Avemaria, Asnam, Smile, snowhite, Lady doctor, Nivea, Lisa, miss wa kinyaru, lara 1, sister, King'asti, cacico, Asprin, Mwita Maranya, watu8, Ruttashobolwa, Teamo, TANMO, mdida, Blaki Womani, Arushaone, Mzee wa Rula, Filipo, PakaJimmy, Bishanga, LiverpoolFC, KOKUTONA, Arabela, Husninyo, MwanajamiiOne

Nikihakikishiwa nitapata mwenyeji hasa wewe nitakuja.
 
Mimi nadhani kati ya Ijumaa tarehe 3 ayu Jmosi tarehe 4 ya mwezi wa kwanza ingekuwa poa. ila huko 20+ mchakamchaka wa mwaka mpya unakuwa tayari ushaanza.
Mkuu tunazungumzia Jumamosi ya tarehe 25 January 2014 na si 25 December 2013
 
Mimi nadhani kati ya Ijumaa tarehe 3 ayu Jmosi tarehe 4 ya mwezi wa kwanza ingekuwa poa. ila huko 20+ mchakamchaka wa mwaka mpya unakuwa tayari ushaanza.
hizo tarehe 3 na 4 wengi wanakuwa bado wako likizo wanamalizia sherehe na familia zao ... wengine wako mikoani n.k....
 
Naomba kuuliza kwanza je kutakuwepo na utambulisho.kama haupo naunga mkono hoja
 
Sasa hiyo michakato ya michango ianze mapema
kabla ya sikukuu za mbeleni kuja maana tusijetoana roho bure
 
Mkuu hukuwa na haja ya kutukana, ukweli ni kwamba Party ya January mwaka huu tulikadiria wana JF 50 kuwa ndio watakaohudhuria lakini walifika 35 tu, hata hivyo katika uzi wangu hapo juu nimesema kwamba bajeti inaweza kupungua au kuongezeka kulingana na idadi ya wadau watakaojitokeza kuhudhuria hafla hii.

Unakaribishwa

yaani wewe mzee una bahati umetoa ufafanuzi humu, nilitaka nikushushie bonge ya kituu, nilikua nataka niende nikajumuike na arusha win kule mwanza wing sasa nabaki nyumbani, tunajiandikisha wapi, 35000 kitu gani kuanza mwaka na dar wing.... barikiwa sana mkuu Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tunazungumzia Jumamosi ya tarehe 25 January 2014 na si 25 December 2013
Mtambuzi

Pia nazungumzia ya January au niliposema mchakamhaka wa mwaka mpya hukunielewa? maana tarehe hizo watu wankuwa washafungua shule na wenye likizo za sikuu zinakuwa zishaisha.

Ila ni ushuri tu, maana uwezekano wa mimi kutokea hapo mimi 50/50.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom