Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuwa huru mama....nitakuwa busy sana na babe wangu sosoliso
hahaha....nina leseni ya uwindaji....tena vitalu vyote
amu kila mtu akitaka tarehe yake tutakuwa confused, tumetoa tarehe mapema ili wadau wajipange, kumbuka tuna miezi miwili kufikia tarehe ya tukio.Hivi hiyo tarehe haitobadilika?
Si mnajua tena.....
KakaKiiza naomba tuwasiliane kuhusu swala la ukumbi maana nataka kuanza kutangaza michango.Namtuma kipajihalisi aje na jibu!kwani hayo nimaeneo yake ila nitarudi baadae nione kama nitakuwa nimepata machanganuo!
Naunga mkono hoja..
Naomba nipewe nafasi ya kuja na kikundi changu cha MSEWE kutumbuiza siku ya Ghafla hiyo, huo ndio utakuwa mchango wangu.
/QUOTE]
shosti ukiwepo lazma nitie timu. halafu hicho kikundi cha msewe ni kile cha magoma moto au kingine?
basi baby kama discount haitokuwepo itabidi tu umuempesa Mtambuzi elfu 70. lol
Usihofu baby, hilo tena? Sema lingine my sweet heart. Ngoja kesho nikauze yule ng'ombe mmoja ambaye nimeandaa kwa ajili ya mahari ili tupate pesa ya kuhudhuria hii get together party.
Nina imani tutafungua ukurasa mpya kwenye maisha yetu.....
mmmh, basi baby. nitamuempesa mimi. lol