JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

Ngoja nifanye juu chini nami nizamie kwenye hii party.
 
mkuu unajua nakuheshimu sana kwa comment zako! niwapi nimetukana? kubokoana nilikuwa na maanisha kufanyiana ushushushu(kupelelezana) sasa bwana Mtambuzi akili yako umetambua kivingine sana
any way maandalizi mema!
 
Last edited by a moderator:
mkuu unajua nakuheshimu sana kwa comment zako! niwapi nimetukana? kubokoana nilikuwa na maanisha kufanyiana ushushushu(kupelelezana) sasa bwana Mtambuzi akili yako umetambua kivingine sana
any way maandalizi mema!
Duh, hilo sikujua ama kweli kiswahili nyama ya tembo.............
Ahsante kwa kunitoa tongotongo
 
Naunga mkono hoja..
Naomba nipewe nafasi ya kuja na kikundi changu cha MSEWE kutumbuiza siku ya Ghafla hiyo, huo ndio utakuwa mchango wangu.

Copy to- charminglady, Zion Daughter, Elizabeth Dominic, Avemaria, Asnam, Smile, snowhite, Lady doctor, Nivea, Lisa, miss wa kinyaru, lara 1, sister, King'asti, cacico, Asprin, Mwita Maranya, watu8, Ruttashobolwa, Teamo, TANMO, mdida, Blaki Womani, Arushaone, Mzee wa Rula, Filipo, PakaJimmy, Bishanga, LiverpoolFC, KOKUTONA, Arabela, Husninyo, MwanajamiiOne
 
Last edited by a moderator:
Imenifurahisha sana na nimeipenda sana hii makitu acha nitafakari
nije na wazo zuri la hotel gani twaweza fanya party yetu
halafu wewe mkaka Mtambuzi mbona huko kimya sana?
niaje tena
Nipo na nimeja tele.
Naomba kama una maoni yako uyaweka hapa maana nataka kutangaza mchango very soon na mambo mengine ili tuende na muda....
 

Zinduna kutumbuiza kama kawa ila kifuta jasho kiwepo
 
Last edited by a moderator:
Oky nitatoa hayo maoni bestito usijali
kwanza nitafakari sipendi kukurupuka
mbona mchango umeshatangaza pale kwenye uzi
au macho yangu hayajaona vizuri nini?
nipo na nimeja tele.
Naomba kama una maoni yako uyaweka hapa maana nataka kutangaza mchango very soon na mambo mengine ili tuende na muda....
 
Zinduna tunaanza lini mazoezi..?
 
Last edited by a moderator:
Wakati tunaendelea, napendekeza kwa wale wadau walioshiriki ile Party ya awali wangetoa mapendekezo hasa nini yalikuwa mapungufu na kipi kiliboa ili tunapoendelea na maanadlizi haya tuweze kuyaweka katika mazingatio tangia mapema na watu wabadili matarajio yao.
Wadau wengi wa JF hatupendi fedhea so nadhani hichi ni kitu tukiepuke mapema toka kwenye hatua ya wazo kuelekea utekelezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…