JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

Ngoja niombe ruhusa kwa mume,na ingekuwa poa zaid naye akiwepo..tufanye logistics mapemaa.

Cc Erickb52
Hope ni Jumamosi bby.
Tutaenda wote usijali maana Tonykp hakawii kukusumbua.

Mwambie Mtambuzi tutashiriki asijali!

Miss you bby wangu....!
Come back Chocs wangu naumiaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono hoja..
Naomba nipewe nafasi ya kuja na kikundi changu cha MSEWE kutumbuiza siku ya Ghafla hiyo, huo ndio utakuwa mchango wangu.

Copy to- charminglady, Zion Daughter, Elizabeth Dominic, Avemaria, Asnam, Smile, snowhite, Lady doctor, Nivea, Lisa, miss wa kinyaru, lara 1, sister, King'asti, cacico, Asprin, Mwita Maranya, watu8, Ruttashobolwa, Teamo, TANMO, mdida, Blaki Womani, Arushaone, Mzee wa Rula, Filipo, PakaJimmy, Bishanga, LiverpoolFC, KOKUTONA, Arabela, Husninyo, MwanajamiiOne

Alaf we Zinduna umejificha wapi?
 
Last edited by a moderator:
umesema vyema, party ya january 2013 bajeti ilikuwa ni 20,000/= kwa kila mdau na tulipewa menu ya bites kwa shilingi 12,000/= na kwa kuwa bia zilikuwa ni shilingi 2,000 tukaweka bajeti ya bia 3 na kiasi kilichobaki tukakodisha mziki kwa shilingi 80,000/= na ndio sababu bajeti ika balance lakini gharama zimepanda kidogo na ndio maana nadhani kama tukichagua menu ya cocktail ambayo haitofautiani sana na ile menu ya kebby's kwa kujibana sana tukichanga shilingi 30,000/= tunaweza kufikia malengo. Kumbuka awali nilifanya makadirio ya juu.

alaf kama ni hotel au mgahawa ni vyema tukazingatia miundo mbinu ya kuweza kuhakisha watu wote wanakuwa confortable kurudi kwenye vibanda vyao nikimaanisha tuchague sehemu ambapo usafiri na mambo mengine ni rahisi kupata. Alaf tuchague sehemu ambapo wataruhusu kuleta chupa zetu za vinyo.
 
Mkuu inabidi tukamzike mwanachama mwenzetu ......
Kwani amekufa kishujaa aisee... LOL

Mwanachama mzembe sana yule. Yani badala ya kupiga govinder kumar ye anahangaika na maviagra. agrrrrr
 
Back
Top Bottom