Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja..
Naomba nipewe nafasi ya kuja na kikundi changu cha MSEWE kutumbuiza siku ya Ghafla hiyo, huo ndio utakuwa mchango wangu.
Copy to- charminglady, Zion Daughter, Elizabeth Dominic, Avemaria, Asnam, Smile, snowhite, Lady doctor, Nivea, Lisa, miss wa kinyaru, lara 1, sister, King'asti, cacico, Asprin, Mwita Maranya, watu8, Ruttashobolwa, Teamo, TANMO, mdida, Blaki Womani, Arushaone, Mzee wa Rula, Filipo, PakaJimmy, Bishanga, LiverpoolFC, KOKUTONA, Arabela, Husninyo, MwanajamiiOne
Gharama reasonable kabisaaa! Ngoja niende kwa mume wa mtu anipe mchango mapemaaa! NAKOMAA NA JIJI chezeya!
Mtambuzi wasio kunywa vikali inakuwaje?
Naunga mkono hoja..
Naomba nipewe nafasi ya kuja na kikundi changu cha MSEWE kutumbuiza siku ya Ghafla hiyo, huo ndio utakuwa mchango wangu.
Mimi napendekeza Escape1Papo poa mnatengewa sehemu yenu!poa kabisa!Haya wakuu naomba maoni yenu kuhusu ukumbi, kwa upande wangu nafikiria kuhusu kumbi hizi:
1. San Siro - Sinza
2. Brajec -Mikocheni au Mlimani City Savei
3. Kebby's Hotel - Bamaga Mwenge
Naomba mapendekezo ili tuendelee na kupanga bajeti niwaletee mchanganuo hapa kisha tuanze kukusanya michango fasta fasta